Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 24:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Maneno yao yakaonekana kuwa ni upuzi kwao, wala hawakuwasadiki.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Mitume waliyachukua maneno hayo kama yasiyo na msingi, hivyo hawakuamini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Mitume waliyachukua maneno hayo kama yasiyo na msingi, hivyo hawakuamini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Mitume waliyachukua maneno hayo kama yasiyo na msingi, hivyo hawakuamini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Lakini hawakuwasadiki hao wanawake, kwa sababu maneno yao yalionekana kama upuzi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Lakini hawakuwasadiki hao wanawake, kwa sababu maneno yao yalionekana kama upuzi.

Tazama sura Nakili

Luka 24:11
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na hawa waliposikia kama yu hayi akaonwa nae, hawakusadiki.

Na hawa wakaenda zao wakawapa khabari wale wengine: wala hawakuwasadiki hawa.

Baadae akaonekana na wale edashara walipokuwa wakila, akawalaumu kwa kutoamini kwao na ugumu wa mioyo yao, kwa kuwa hawakuwasadiki waliomwona alipofufuka.

Nae akawaambia, Enyi wapumbavu, na wenye mioyo mizito katika kuyaamini yote waliyoyasema manabii!

Bassi, wakiwa bado kuamini kwa furaha, wakitaajabu, akawaambia, Mna kitu cha kula hapa?

Akatoka, akamfuata; wala hakujua ya kuwa ni khabari ya kweli iliyofanyika na malaika; bali alidhani anaona njozi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo