Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 24:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Na hao waliowaambia mitume mambo haya ni Mariamu Magdalene, na Yoanna, na Mariamu mama yake Yakobo na wengine waliokuwa pamoja nao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Hao waliotoa habari hizo kwa mitume ni: Maria Magdalene, Yoana na Maria mama wa Yakobo, pamoja na wanawake wengine walioandamana nao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Hao waliotoa habari hizo kwa mitume ni: Maria Magdalene, Yoana na Maria mama wa Yakobo, pamoja na wanawake wengine walioandamana nao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Hao waliotoa habari hizo kwa mitume ni: Maria Magdalene, Yoana na Maria mama wa Yakobo, pamoja na wanawake wengine walioandamana nao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Basi Mariamu Magdalene, Yoana, na Mariamu mama yake Yakobo, pamoja na wanawake wengine waliofuatana nao ndio waliwaelezea mitume habari hizi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Basi Maria Magdalene, Yoana, na Maria mama yake Yakobo, pamoja na wanawake wengine waliofuatana nao ndio waliwaelezea mitume habari hizi.

Tazama sura Nakili

Luka 24:10
7 Marejeleo ya Msalaba  

Miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo na Yose, na mama yao wana wa Zebedayo.

Na mitume wakakusanyika mbele ya Yesu; wakampa khabari za mambo yote waliyoyafanya na mambo yote waliyoyafundisha.

wakarejea kutoka kaburi, wakawaarifu wale edashara na wale wengine wote pia mambo hayo yote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo