Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 24:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 HATTA siku ya kwanza ya juma, ikianza kupambazuka, wakaenda kaburini wakiyaleta yale manukato waliyoyaweka tayari, na wengine pamoja nao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Jumapili, alfajiri na mapema, wale wanawake walikwenda kaburini wakichukua yale manukato waliyotayarisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Jumapili, alfajiri na mapema, wale wanawake walikwenda kaburini wakichukua yale manukato waliyotayarisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Jumapili, alfajiri na mapema, wale wanawake walikwenda kaburini wakichukua yale manukato waliyotayarisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Siku ya kwanza ya juma, alfajiri na mapema, wale wanawake walichukua yale manukato waliyokuwa wameyaandaa, wakaenda kaburini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Mnamo siku ya kwanza ya juma, alfajiri na mapema, wale wanawake walichukua yale manukato waliyokuwa wameyaandaa, wakaenda kaburini.

Tazama sura Nakili




Luka 24:1
10 Marejeleo ya Msalaba  

Palikuwako na wanawake wakitazama kwa mbali; katika hawa alikuwa Mariamu Magdalene, na Mariamu mama wa Yakobo mdogo na wa Yose, na Salome:


Na hao waliowaambia mitume mambo haya ni Mariamu Magdalene, na Yoanna, na Mariamu mama yake Yakobo na wengine waliokuwa pamoja nao.


Wakalikuta lile jiwe limefingirishwa mbali ya kaburi.


Kuna tena wanawake wengine wa kwetu waliotustusha, wakiamkia mapema kwenda kaburini:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo