Luka 23:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Pilato aliposikia neno hili Galilaya, akauliza, Mtu huyu ni Mgalilaya? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Pilato aliposikia hayo, akauliza, “Je, mtu huyu ni mwenyeji wa Galilaya?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Pilato aliposikia hayo, akauliza, “Je, mtu huyu ni mwenyeji wa Galilaya?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Pilato aliposikia hayo, akauliza, “Je, mtu huyu ni mwenyeji wa Galilaya?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Pilato aliposikia hayo akauliza kama huyo mtu alikuwa Mgalilaya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Pilato aliposikia hayo akauliza, “Huyu mtu ni Mgalilaya?” Tazama sura |