Luka 23:56 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192156 Na siku ya sabato wakastarehe kama ilivyoamriwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema56 Halafu, walirudi nyumbani, wakatayarisha manukato na marashi ya kuupaka mwili wa Yesu. Siku ya Sabato walipumzika kama ilivyoamriwa na sheria. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND56 Halafu, walirudi nyumbani, wakatayarisha manukato na marashi ya kuupaka mwili wa Yesu. Siku ya Sabato walipumzika kama ilivyoamriwa na sheria. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza56 Halafu, walirudi nyumbani, wakatayarisha manukato na marashi ya kuupaka mwili wa Yesu. Siku ya Sabato walipumzika kama ilivyoamriwa na sheria. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu56 Kisha wakarudi nyumbani, wakaandaa manukato na marhamu ya kuupaka huo mwili. Lakini wakapumzika siku ya Sabato kama ilivyoamriwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu56 Kisha wakarudi nyumbani, wakaandaa manukato na marhamu ya kuupaka huo mwili. Lakini wakapumzika siku ya Sabato kama ilivyoamriwa. Tazama sura |