Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 23:52 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

52 Bassi mtu huyu akamwendea Pilato akaomba apewe mwili wa Yesu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

52 Basi, yeye alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

52 Basi, yeye alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

52 Basi, yeye alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

52 Yusufu alienda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

52 Yusufu alikwenda kwa Pilato, akaomba apewe mwili wa Isa.

Tazama sura Nakili




Luka 23:52
3 Marejeleo ya Msalaba  

(mtu huyu hakuwa akikubali shauri lao wala tendo lao), mwenyeji wa Arimathaya, mji wa Wayahudi, nae mwenyewe akiutazamia ufalme wa Mungu.


Akaushusha, akauzinga nguo za katani, akauweka katika kaburi lililochongwa mwambani; hajawekwa mtu aliye yote ndani yake kamwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo