Luka 23:45 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192145 jua likipunguka: pazia ya hekalu ikapasuka katikati. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema45 na pazia lililokuwa limetundikwa hekaluni likapasuka vipande viwili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND45 na pazia lililokuwa limetundikwa hekaluni likapasuka vipande viwili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza45 na pazia lililokuwa limetundikwa hekaluni likapasuka vipande viwili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu45 kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu45 kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili. Tazama sura |