Luka 23:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192144 Ikapata kama saa a sita, pakawa giza juu ya inchi yote hatta saa a tissa, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Ilikuwa yapata saa sita mchana; jua likaacha kuangaza, giza likaifunika nchi yote mpaka saa tisa, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Ilikuwa yapata saa sita mchana; jua likaacha kuangaza, giza likaifunika nchi yote mpaka saa tisa, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Ilikuwa yapata saa sita mchana; jua likaacha kuangaza, giza likaifunika nchi yote mpaka saa tisa, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa, Tazama sura |