Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 23:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

43 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo utakuwa pamoja nami Peponi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Yesu akamjibu, “Nakuambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami peponi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Yesu akamjibu, “Nakuambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami peponi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Yesu akamjibu, “Nakuambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami peponi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Isa akamjibu, “Amin, nakuambia, leo utakuwa pamoja nami Paradiso.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Isa akamjibu, “Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.”

Tazama sura Nakili




Luka 23:43
22 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana Mwana wa Adamu alikuja illi kutafuta kilichopotea na kukiokoa.


Akamwambia Yesu, Bwana, unikumbuke ujapo katika ufalme wako.


Bassi nikishika njia kwenda kuwaandalia mahali, nitakuja tena, niwakaribisheni kwangu; illi nilipo mimi, nanyi mwepo.


Baba, hao nao ulionipa, nataka wawe pamoja nami nilipo, wapate kuutazama utukufu wangu ulionipa; kwa maana ulinipenda kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu.


Lakini tuna moyo mkuu; na tunaona vema zaidi kutoka katika mwili na kukaa pamoja na Bwana.


Ninasongwa kati kati ya mambo mawili; ninatamani kwenda zangu nikae na Kristo; maana ni vizuri zaidi;


Nae, kwa sababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao wajao kwa Mungu kwa yeye; maana yu hayi siku zote illi awaombee.


Yeye alive na sikio, na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindae, nitampa kula matunda ya mti wa uzima ulio kati kati va bustani ya Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo