Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 23:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Palikuwa na anwani juu yake kwa harufi za kiyunani na kirumi na kiebrania, HUYU NDIYE MFALME WA WAYAHUDI.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Vilevile maandishi haya yalikuwa yamewekwa juu yake: “Huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Vilevile maandishi haya yalikuwa yamewekwa juu yake: “Huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Vilevile maandishi haya yalikuwa yamewekwa juu yake: “Huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Kwenye msalaba juu ya kichwa chake, kulikuwa na maandishi haya: Huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Kwenye msalaba juu ya kichwa chake, kulikuwa na maandishi haya: huyu ndiye mfalme wa wayahudi. Maandishi haya yalikuwa yameandikwa kwa lugha za Kiyunani, Kilatini na Kiebrania.

Tazama sura Nakili




Luka 23:38
9 Marejeleo ya Msalaba  

wakinena, Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyola yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudu.


Yesu akasimama mbele ya liwali: liwali akamwuliza, akinena, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Yesu akamwambia, Wewe wanena.


Wakaweka juu ya kichwa chake mshitaka wake, ulioandikwa, HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.


wakaanza kumsalimu, Salamu Mfalme wa Wayahudi!


Anwani ya mshitaka wake iliandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDU.


Kristo, mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani tupate kuona na kuamini. Nao waliosulibiwa pamoja nae wakamlaumu,


Pilato akamwuliza, akisema, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Akajibu, akamwambia, Unasema wewe.


wakisema, Salamu, Mfalme wa Wayahudi! wakimpiga makofi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo