Luka 23:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192137 Kama wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi, njiokoe nafsi yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 wakisema: “Kama kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 wakisema: “Kama kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 wakisema: “Kama kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 na wakamwambia, “Kama wewe ni mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 na wakamwambia, “Kama wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” Tazama sura |