Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 23:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Wakachukuliwa wawili tena, wakhalifu, wauawe pamoja nae.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Waliwachukua pia watu wengine wawili, wahalifu, wauawe pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Waliwachukua pia watu wengine wawili, wahalifu, wauawe pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Waliwachukua pia watu wengine wawili, wahalifu, wauawe pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Watu wawili wahalifu walipelekwa pamoja na Isa ili wakasulubiwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Watu wengine wawili wahalifu, walipelekwa pamoja na Isa ili wakasulubiwe.

Tazama sura Nakili




Luka 23:32
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo wanyangʼanyi wawili wakasulibiwa pamoja nae, mmoja mkono wake wa kuume, na mmoja mkono wake wa kushoto.


Na pamoja nae walisulibi wanyangʼanyi wawili, mmoja mkono wake wa kuume na mmoja mkono wake wa kushoto.


Kwa maana nawaambieni, Hili lililoandikwa halina buddi kutimizwa kwangu, Alihesabiwa pamoja na maasi; kwa maana linipasalo lina mwisho.


Kwa kuwa wakifanya haya wakati wa mti ulio mbichi, wakati wa ule ulio mkavu yatakuwaje?


wakamsulibisha huko, na wengine wawili pamoja nae, huko na huko, na Yesu katikati.


Katika huyu nimeteswa kiasi cha kufungwa, kama mtenda mabaya; illakini neno la Mungu halifungwi.


tukimtazama Yesu, aliveianzisha imani yetu na kuitimiliza; ambae kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele zake aliuvumilia msalaba na kuidharau aibu, nae ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo