Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 23:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Kwa maana siku zinakuja watakaposema, Wa kheri walio tassa, na matumbo yasiyozaa, na maziwa yasiyonyonyesha.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Maana, hakika siku zitakuja ambapo watasema: ‘Heri yao wale walio tasa, ambao hawakupata kuzaa wala kunyonyesha watoto!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Maana, hakika siku zitakuja ambapo watasema: ‘Heri yao wale walio tasa, ambao hawakupata kuzaa wala kunyonyesha watoto!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Maana, hakika siku zitakuja ambapo watasema: ‘Heri yao wale walio tasa, ambao hawakupata kuzaa wala kunyonyesha watoto!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Kwa maana wakati utafika mtakaposema, ‘Wamebarikiwa wanawake tasa, ambao tumbo zao hazikuzaa, wala matiti yao hayakunyonyesha!’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Kwa maana wakati utafika mtakaposema, ‘Wamebarikiwa wanawake tasa, ambao matumbo yao hayakuzaa, wala matiti yao hayakunyonyesha!’

Tazama sura Nakili

Luka 23:29
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku zile!

Ikawa alipokuwa akinena haya, mwauamke mmoja katika makutano akapaaza sauti yake akamwambia, Li kheri tumbo lililokuehukua, na maziwa uliyonyonya.

Yesu akawageukia, akasema, Binti za Yerusalemi, msinililie mimi, bali jililieni nafsi zenu na watoto wenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo