Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 23:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Wakamfuata makutano mengi ya watu, na ya wanawake, waliojipigapiga, wakaomboleza.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Watu, umati kwa umati, walimfuata; miongoni mwao wakiwemo wanawake waliokuwa wanaomboleza na kumlilia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Watu, umati kwa umati, walimfuata; miongoni mwao wakiwemo wanawake waliokuwa wanaomboleza na kumlilia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Watu, umati kwa umati, walimfuata; miongoni mwao wakiwemo wanawake waliokuwa wanaomboleza na kumlilia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Idadi kubwa ya watu wakamfuata Isa, wakiwamo wanawake waliokuwa wakimlilia na kumwombolezea.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Idadi kubwa ya watu wakamfuata Isa, wakiwamo wanawake waliokuwa wakimlilia na kumwombolezea.

Tazama sura Nakili

Luka 23:27
9 Marejeleo ya Msalaba  

wakinena, Twaliwapigia filimbi, wala hamkucheza; twaliomboleza, wala hamkulia.

Na palikuwa na wanawake wengi huko wakitazama kwa mbali, hawo ndio waliomfuata Yesu toka Galilaya, na kumtumikia.

Palikuwako na wanawake wakitazama kwa mbali; katika hawa alikuwa Mariamu Magdalene, na Mariamu mama wa Yakobo mdogo na wa Yose, na Salome:

Yesu akawageukia, akasema, Binti za Yerusalemi, msinililie mimi, bali jililieni nafsi zenu na watoto wenu.

Wanawake wakafuatana nao, wale waliokuja pamoja nae kutoka Galilaya, wakalitazama kaburi na jinsi ulivyowekwa mwili wake. Wakarudi wakafanya tayari manukato na marhamu.

na wanawake kadha wa kadha waliokuwa wameponywa pepo wabaya na magonjwa, Mariamu aliyeitwa Magdalene, aliyetokwa na pepo saba,

Akasema, Msilie; kwa maana hakufa, bali amelala usingizi.

Amin, amin, nawaambieni, Ninyi mtalia, na kuomboleza, bali, ulimwengu utafurahi: ninyi mtahuzunishwa, lakini huzuni yenu itageuka kuwa furaha,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo