Luka 23:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 Lakini wakakaza kusema kwa santi kuu, wakitaka asulibiwe; zikashinda sauti zao na za makuhani wakuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Lakini wao wakazidi kupiga kelele kwa nguvu sana, kwamba Yesu ni lazima asulubiwe. Mwishowe, sauti zao zikashinda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Lakini wao wakazidi kupiga kelele kwa nguvu sana, kwamba Yesu ni lazima asulubiwe. Mwishowe, sauti zao zikashinda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Lakini wao wakazidi kupiga kelele kwa nguvu sana, kwamba Yesu ni lazima asulubiwe. Mwishowe, sauti zao zikashinda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Lakini watu wakazidi kupiga kelele kwa nguvu, wakidai kwamba Isa asulubiwe. Hivyo, kelele zao zikashinda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Lakini watu wakazidi kupiga kelele kwa nguvu zaidi, wakidai kwamba Isa asulubiwe. Hivyo, kelele zao zikashinda. Tazama sura |