Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 23:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Wakapiga kelele wote pamoja, wakisema, Mchukue huyu, tufungulie Barabba.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!” (

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!” (

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!” (

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Ndipo watu wote wakapiga kelele kwa pamoja, “Mwondoe mtu huyu! Tufungulie Baraba!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Ndipo watu wote wakapiga kelele kwa pamoja, “Mwondoe mtu huyo! Tufungulie Baraba!”

Tazama sura Nakili




Luka 23:18
10 Marejeleo ya Msalaba  

Maana ilimlazimu kuwafungulia mmoja wakati wa siku kuu.


Nae ni mtu aliyetiwa gerezani kwa sababu ya fitina iliyofanyika mjini, na kwa uuaji.


Bassi yule mwanafunzi mwingine aliyejulika na kuhani mkuu akatoka akasema na mwanamke aliye mngoje mlango, akamleta Petro ndani.


Maana kundi kubwa la watu wakamfuata, wakipiga kelele, Mwondoe huyu.


Wakamsikiliza mpaka neno lile, wakapaaza sauti zao, wakisema, Mwondoe huyu katika inchi, kwa maana haifai aishi.


Ninyi mlimkana yule Mtakatifu, yule Mwenye haki, mkataka mpewe muuaji:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo