Luka 23:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192117 Maana ilimlazimu kuwafungulia mmoja wakati wa siku kuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Kila sikukuu ya Pasaka, ilimlazimu Pilato kuwafungulia mfungwa mmoja.] Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Kila sikukuu ya Pasaka, ilimlazimu Pilato kuwafungulia mfungwa mmoja.] Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kwa kuwa ilikuwa lazima kuwafungulia mfungwa mmoja wakati wa Sikukuu.] Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kwa kuwa ilikuwa lazima kuwafungulia mfungwa mmoja wakati wa Sikukuu.] Tazama sura |