Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 23:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 wala Herode nae; kwa maana naliwapelekeni kwake, wala hapana neno la kustahili kufa lililotendwa nae.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Wala si mimi tu, bali hata Herode hakuona kosa lolote, kwa maana amemrudisha kwangu. Ni dhahiri kwamba mtu huyu hakufanya chochote kinachostahili adhabu ya kifo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Wala si mimi tu, bali hata Herode hakuona kosa lolote, kwa maana amemrudisha kwangu. Ni dhahiri kwamba mtu huyu hakufanya chochote kinachostahili adhabu ya kifo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Wala si mimi tu, bali hata Herode hakuona kosa lolote, kwa maana amemrudisha kwangu. Ni dhahiri kwamba mtu huyu hakufanya chochote kinachostahili adhabu ya kifo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Wala Herode hakumpata na kosa lolote, ndiyo sababu amemrudisha kwetu. Kama mnavyoona, mtu huyu hakufanya jambo lolote linalostahili kifo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Wala Herode hakumwona na kosa lolote, ndiyo sababu amemrudisha kwetu. Kama mnavyoona, mtu huyu hakufanya jambo lolote linalostahili kifo.

Tazama sura Nakili

Luka 23:15
3 Marejeleo ya Msalaba  

WAKATI ule Herode tetrarka alisikia khabari za Yesu,

Herode akasema, Yohana nimemkata kichwa: bassi, nani huyu ambae ninasikia khabari zake za namna hii? Akatafuta kumwona.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo