Luka 23:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Ndipo Herode na Pilato wakapatana, siku ileile; kwa maana kwanza walikuwa na uadui wao kwa wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Herode na Pilato, ambao hapo awali walikuwa maadui, tangu siku hiyo wakawa marafiki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Herode na Pilato, ambao hapo awali walikuwa maadui, tangu siku hiyo wakawa marafiki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Herode na Pilato, ambao hapo awali walikuwa maadui, tangu siku hiyo wakawa marafiki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Siku hiyo, Herode na Pilato wakapata urafiki; kabla ya jambo hili walikuwa na uadui kati yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Siku hiyo, Herode na Pilato wakawa marafiki; kabla ya jambo hili walikuwa na uadui kati yao. Tazama sura |