Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 23:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Bassi Herode akamtweza pamoja na askari zake akamdhihaki, akamvika mavazi mazurimazuri, akamrudisha kwa Pilato.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Basi, Herode pamoja na askari wake, wakamwaibisha Yesu na kumfanyia mzaha; kisha wakamvika vazi la kifalme, wakamrudisha kwa Pilato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Basi, Herode pamoja na askari wake, wakamwaibisha Yesu na kumfanyia mzaha; kisha wakamvika vazi la kifalme, wakamrudisha kwa Pilato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Basi, Herode pamoja na askari wake, wakamwaibisha Yesu na kumfanyia mzaha; kisha wakamvika vazi la kifalme, wakamrudisha kwa Pilato.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Herode na askari wake wakamdhihaki Isa na kumfanyia mzaha. Wakamvika vazi zuri sana, wakamrudisha kwa Pilato.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Herode na askari wake wakamdhihaki Isa na kumfanyia mzaha. Wakamvika vazi zuri sana, wakamrudisha kwa Pilato.

Tazama sura Nakili

Luka 23:11
16 Marejeleo ya Msalaba  

WAKATI ule Herode tetrarka alisikia khabari za Yesu,

Maana Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga, akamtia gerezani, kwa ajili ya Herodias, mke wa Filipo ndugu yake.

Hatta panapo siku kuu ya kuzaliwa kwake Herode, binti Herodias alicheza kati ya watu, akampendeza Herode.

Akajihu akawaambia, Ni kweli Eliya yuaja kwanza, na kutengeneza yote; lakini, pamoja na haya ameandikwaje Mwana wa Adamu ya kwamba atateswa mengi na kudharanliwa?

Wakasimama makuliani wakuu na waandishi, wakimshitaki kwa nguvu.

Bassi Yesu akatoka nje, amevaa ile taji ya miiba, na lile vazi jekundu. Pilato akawaambia, Tazama, Mtu huyu!

Maana akiingia katika sunagogi lenu mtu mwenye pete ya dhahabu na mavazi mazuri, na akiingia na maskini, mwenye mavazi mabovu;

nanyi mkimstahi yule aliyevaa mavazi mazuri, na kumwambia, Keti wewe hapa mahali pazuri, na kumwambia yule maskini, Simama wewe pale, au keti miguuni pangu,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo