Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 23:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Wakasimama makuliani wakuu na waandishi, wakimshitaki kwa nguvu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakajitokeza mbele, wakatoa mashtaka yao kwa nguvu sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakajitokeza mbele, wakatoa mashtaka yao kwa nguvu sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakajitokeza mbele, wakatoa mashtaka yao kwa nguvu sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Wakati huo viongozi wa makuhani na walimu wa Torati walikuwa wakitoa mashtaka yao kwa nguvu sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Wakati huo viongozi wa makuhani na walimu wa Torati walikuwepo wakitoa mashtaka yao kwa nguvu sana.

Tazama sura Nakili




Luka 23:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Aliposhitakiwa na makuhani wakuu na wazee, hakujibu hatta neno.


Alipokuwa akiwaambia haya, waandishi na Mafarisayo wakaanza kumsonga vibaya, na kumchokoza kwa masiala mengi, wakimwotea,


Bassi Herode akamtweza pamoja na askari zake akamdhihaki, akamvika mavazi mazurimazuri, akamrudisha kwa Pilato.


Wakaanza kumshitaki, wakisema, Tumemwona mtu huyu amipotosha taifa letu, anawakataza watu wasimpe Kaisari kodi, akisema ya kwamba yeye mwenyewe yu Kristo, mfalme.


Nao wakamshurutisha, wakisema, Awataharakisha watu, akifundisha katika Yahudi yote, akianzia Galilaya hatta hapa.


Akamwuliza kwa maneno mengi, yeye asimjibu lo lote.


Kwa maana tamemwona mtu huyu mkorofi, muanzishaji wa fitina katika Mayahudi waliomo duniani, tena ni kichwa cha uzushi wa Wanazorayo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo