Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 23:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 WAKAONDOKA jamii yote, wakamleta kwa Pilato.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Kisha, wote kwa jumla, wakasimama, wakampeleka Yesu mbele ya Pilato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Kisha, wote kwa jumla, wakasimama, wakampeleka Yesu mbele ya Pilato.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Kisha, wote kwa jumla, wakasimama, wakampeleka Yesu mbele ya Pilato.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Kisha umati wote wa watu wakainuka na kumpeleka Isa kwa Pilato.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Kisha umati wote wa watu ukainuka na kumpeleka Isa kwa Pilato.

Tazama sura Nakili




Luka 23:1
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta ulipokuwa mchana wakakusanyika jamii ya wazee wa watu, na makuhani wakuu, na waandishi, wakamleta kwa haraza yao, wakisema,


Wakasema, Bassi, mbona tunahitaji ushuhuda? Kwa maana sisi wenyewe tumesikia kwa kinywa chake.


Maana ni kweli, Herode na Pontio Pilato pamoja na mataifa na watu wa Israeli, walikusanyika juu ya mtumishi wako mtakatifu Yesu, uliyemtia mafuta,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo