Luka 22:71 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192171 Wakasema, Bassi, mbona tunahitaji ushuhuda? Kwa maana sisi wenyewe tumesikia kwa kinywa chake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema71 Nao wakasema, “Je, tunahitaji ushahidi mwingine? Sisi wenyewe tumesikia akisema kwa mdomo wake mwenyewe.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND71 Nao wakasema, “Je, tunahitaji ushahidi mwingine? Sisi wenyewe tumesikia akisema kwa mdomo wake mwenyewe.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza71 Nao wakasema, “Je, tunahitaji ushahidi mwingine? Sisi wenyewe tumesikia akisema kwa mdomo wake mwenyewe.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu71 Kisha wakasema, “Tuna haja gani tena ya ushahidi zaidi? Tumesikia wenyewe kutoka kinywani mwake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu71 Kisha wakasema, “Tuna haja gani tena ya ushahidi zaidi? Tumesikia wenyewe kutoka kinywani mwake.” Tazama sura |