Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 22:67 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

67 Kama wewe u Kristo, tuambie. Akawaambia, Nijapowaambieni, hamtaamini kabisa:

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

67 Nao wakamwambia, “Tuambie! Je, wewe ndiwe Kristo?” Lakini Yesu akawaambia, “Hata kama nikiwaambieni, hamtasadiki;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

67 Nao wakamwambia, “Tuambie! Je, wewe ndiwe Kristo?” Lakini Yesu akawaambia, “Hata kama nikiwaambieni, hamtasadiki;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

67 Nao wakamwambia, “Tuambie! Je, wewe ndiwe Kristo?” Lakini Yesu akawaambia, “Hata kama nikiwaambieni, hamtasadiki;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

67 Wakamwambia, “Kama wewe ndiwe Al-Masihi, tuambie.” Isa akawajibu, “Hata nikiwaambia, hamtaamini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

67 Wakamwambia, “Kama wewe ndiwe Al-Masihi, tuambie.” Isa akawajibu, “Hata nikiwaambia hamtaamini.

Tazama sura Nakili

Luka 22:67
13 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia, Wasiposikia Musa na manabii, ajapoondoka mtu katika wafu, hawatashawishwa.

nami nikiwaulizeni, hamtanijibu wala kuniachilia.

Bassi kuhani mkuu akamwuliza Yesu khabari za wanafunzi wake, na khabari za mafundisho yake.

Ya nini kumuliza? waulize wale waliosikia, ni nini niliyosema nao: wao wanajua niliyowaambia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo