Luka 22:64 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192164 Wakamfunika macho, wakamwuliza, wakisema, Fanya unabii, ni nani aliyekupiga? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema64 Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, “Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri, tuone!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND64 Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, “Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri, tuone!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza64 Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, “Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri, tuone!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu64 Wakamfunga kitambaa machoni na kumuuliza, “Tabiri! Tuambie ni nani aliyekupiga?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu64 Wakamfunga kitambaa machoni na kumuuliza, “Tabiri! Tuambie ni nani aliyekupiga?” Tazama sura |