Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 22:63 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

63 Na wale watu waliomshika Yesu, wakamdhihaki, wakampiga.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

63 Wale watu waliokuwa wanamchunga Yesu, walimpiga na kumdhihaki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

63 Wale watu waliokuwa wanamchunga Yesu, walimpiga na kumdhihaki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

63 Wale watu waliokuwa wanamchunga Yesu, walimpiga na kumdhihaki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

63 Watu waliokuwa wanamlinda Isa wakaanza kumdhihaki na kumpiga.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

63 Watu waliokuwa wanamlinda Isa wakaanza kumdhihaki na kumpiga.

Tazama sura Nakili




Luka 22:63
23 Marejeleo ya Msalaba  

Akatoka nje, akalia kwa uchungu.


Bassi kuhani mkuu akamwuliza Yesu khabari za wanafunzi wake, na khabari za mafundisho yake.


Aliposema maneno haya, mmoja wa wale watumishi aliyesimama karibu akampiga Yesu koli, akinena, Wamjibu hivi kuhani mkuu?


tukimtazama Yesu, aliveianzisha imani yetu na kuitimiliza; ambae kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele zake aliuvumilia msalaba na kuidharau aibu, nae ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu.


yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa hakuogofya; bali alijikabidhi kwake yeye ahukumuye kwa haki;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo