Luka 22:60 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192160 Petro akasema, Ewe mtu, sijui unenalo. Papo hapo alipokuwa akisema yeye, jogoo akawika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema60 Lakini Petro akasema, “Bwana wee; sijui hata unachosema!” Na papo hapo, akiwa bado anaongea, jogoo akawika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND60 Lakini Petro akasema, “Bwana wee; sijui hata unachosema!” Na papo hapo, akiwa bado anaongea, jogoo akawika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza60 Lakini Petro akasema, “Bwana wee; sijui hata unachosema!” Na papo hapo, akiwa bado anaongea, jogoo akawika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu60 Petro akajibu, “Wewe mtu, mimi sijui unalosema!” Wakati huo huo, akiwa bado anazungumza, jogoo akawika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu60 Petro akajibu, “Wewe mtu, mimi sijui unalosema!” Wakati huo huo, akiwa bado anazungumza, jogoo akawika. Tazama sura |