Luka 22:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Akaahidi, akatafuta nafasi kumsaliti kwao pasipo kuwapo makutano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Yuda akakubali, na akawa anatafuta nafasi nzuri ya kumkabidhi kwao bila umati wa watu kujua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Yuda akakubali, na akawa anatafuta nafasi nzuri ya kumkabidhi kwao bila umati wa watu kujua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Yuda akakubali, na akawa anatafuta nafasi nzuri ya kumkabidhi kwao bila umati wa watu kujua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Naye akakubali, akaanza kutafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Isa kwao, ambapo hakuna umati wa watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Naye akakubali, akaanza kutafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Isa kwao, wakati ambapo hakuna umati wa watu. Tazama sura |