Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 22:56 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

56 Bassi, mjakazi mmoja akamwona ameketi mwangani, akamkazia macho akisema, Huyu nae alikuwa pamoja nae.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

56 Mtumishi mmoja wa kike alipomwona Petro ameketi karibu na moto, akamkodolea macho, akasema, “Mtu huyu pia alikuwa pamoja na Yesu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

56 Mtumishi mmoja wa kike alipomwona Petro ameketi karibu na moto, akamkodolea macho, akasema, “Mtu huyu pia alikuwa pamoja na Yesu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

56 Mtumishi mmoja wa kike alipomwona Petro ameketi karibu na moto, akamkodolea macho, akasema, “Mtu huyu pia alikuwa pamoja na Yesu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

56 Mjakazi mmoja akamwona kwa mwanga wa moto akiwa ameketi pale. Akamtazama sana, akasema, “Huyu mtu pia alikuwa pamoja na Isa!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

56 Mtumishi mmoja wa kike akamwona kwa mwanga wa moto akiwa ameketi pale. Akamtazama sana, akasema, “Huyu mtu pia alikuwa pamoja na Isa!”

Tazama sura Nakili




Luka 22:56
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na Petro alikuwa ameketi nje behewani: kijakazi kimoja akamwendea, akanena, Wewe nawe ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.


Ilipokuwa jioni yuaja pamoja na wathenashara.


Yesu akasema, Mwacheni; mbona mnamwudhi? amenitendea kazi njema:


Ndipo akaweka mkono wake juu yake marra ya pili machoni mwake, akamwagiza atazame juu; akapata kuwa mzima, akaona wote waziwazi, wajapokuwa mbali.


Hatta walipowasha moto kati yasebule wakaketi pamoja, akaketi Petro kati yao.


Akakana, akisema, Mwanamke, simjui.


Bassi yule kijakazi aliye mngoje mlango akamwambia Petro, Wewe nawe, je! huwi mmojawapo wa wanafunzi wake mtu huyu? Yeye akasema, Si mimi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo