Luka 22:55 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192155 Hatta walipowasha moto kati yasebule wakaketi pamoja, akaketi Petro kati yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema55 Moto ulikuwa umewashwa katikati ya ua, nao wakawa wameketi pamoja, naye Petro akiwa miongoni mwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND55 Moto ulikuwa umewashwa katikati ya ua, nao wakawa wameketi pamoja, naye Petro akiwa miongoni mwao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza55 Moto ulikuwa umewashwa katikati ya ua, nao wakawa wameketi pamoja, naye Petro akiwa miongoni mwao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu55 Walipokwisha kuwasha moto katikati ya ua na kuketi pamoja, Petro naye akaketi pamoja nao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu55 Walipokwisha kuwasha moto katikati ya ua na kuketi pamoja, Petro naye akaketi pamoja nao. Tazama sura |