Luka 22:54 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192154 Wakamkamata, wakamchukua, wakamleta nyumbani kwa kuhani mkuu; na Petro akafuata mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema54 Basi, wakamkamata, wakamchukua na kwenda naye nyumbani kwa kuhani mkuu. Petro akawa anamfuata nyuma kwa mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND54 Basi, wakamkamata, wakamchukua na kwenda naye nyumbani kwa kuhani mkuu. Petro akawa anamfuata nyuma kwa mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza54 Basi, wakamkamata, wakamchukua na kwenda naye nyumbani kwa kuhani mkuu. Petro akawa anamfuata nyuma kwa mbali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu54 Kisha wakamkamata Isa, wakamchukua, wakaenda naye hadi nyumbani mwa kuhani mkuu. Lakini Petro akafuata kwa mbali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu54 Kisha wakamkamata Isa, wakamchukua, wakaenda naye mpaka nyumbani kwa kuhani mkuu. Lakini Petro akafuata kwa mbali. Tazama sura |