Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 22:51 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

51 Yesu akajibu, akasema, Acheni kadiri hii. Akamgusa sikio, akamponya.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

51 Hapo, Yesu akasema, “Acha! Hii inatosha.” Akaligusa sikio la mtu huyo, akaliponya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

51 Hapo, Yesu akasema, “Acha! Hii inatosha.” Akaligusa sikio la mtu huyo, akaliponya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

51 Hapo, Yesu akasema, “Acha! Hii inatosha.” Akaligusa sikio la mtu huyo, akaliponya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

51 Lakini Isa akasema, “Acheni!” Akaligusa lile sikio la yule mtu na kumponya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

51 Lakini Isa akasema, “Acheni!” Akaligusa lile sikio la yule mtu na kumponya.

Tazama sura Nakili

Luka 22:51
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mmoja wao akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio la kuume.

Yesu akawaambia waliomjia, makuhani wakuu, na majemadari wa hekalu, na wazee, Kama juu ya mnyanyangʼanyi mmetoka kwa panga na marungu?

Nilipokuwa pamoja nao ulimwenguni, mimi naliwalinda kwa jina lako: wale ulionipa naliwatunza, wala hapana mmojawapo wao aliyepotea, illa yule mwana wa upotevu maandiko yapate kutimizwa.

Paolo akapaaza sauti yake kwa uguvu, akisema, Usijidhuru, kwa maana sisi sote tupo hapa.

Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.

NAMI Paolo, nawasihi kwa upole na utaratibu wa Kristo, mimi niliye mnyenyekevu niwapo pamoja nanyi, bali nisipokuwapo mwenye ujasiri kwenu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo