Luka 22:49 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192149 Nao waliokuwa pamoja nae walipoona yatakayokuwa, wakasema, Bwana, na tupige kwa upanga? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema49 Wale wanafunzi wake walipoona hayo wakasema, “Bwana, tutumie panga zetu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND49 Wale wanafunzi wake walipoona hayo wakasema, “Bwana, tutumie panga zetu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza49 Wale wanafunzi wake walipoona hayo wakasema, “Bwana, tutumie panga zetu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu49 Wafuasi wa Isa walipoona yale yaliyokuwa yanakaribia kutokea, wakasema, “Bwana, tuwakatekate kwa panga zetu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu49 Wafuasi wa Isa walipoona yale yaliyokuwa yanakaribia kutokea, wakasema, “Bwana Isa, tuwakatekate kwa panga zetu?” Tazama sura |