Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 22:47 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

47 Nae alipokuwa akisema, tazama, makutano, nae aitwae Yuda, mmoja wa wathenashara, akitangulia mbele yao, akamkaribia Yesu kumbusu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

47 Alipokuwa bado anaongea, kundi la watu likaja likiongozwa na yule aliyeitwa Yuda, mmoja wa wale mitume kumi na wawili. Yuda akaenda kumsalimu Yesu kwa kumbusu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

47 Alipokuwa bado anaongea, kundi la watu likaja likiongozwa na yule aliyeitwa Yuda, mmoja wa wale mitume kumi na wawili. Yuda akaenda kumsalimu Yesu kwa kumbusu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

47 Alipokuwa bado anaongea, kundi la watu likaja likiongozwa na yule aliyeitwa Yuda, mmoja wa wale mitume kumi na wawili. Yuda akaenda kumsalimu Yesu kwa kumbusu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

47 Isa alipokuwa bado anazungumza, umati mkubwa wa watu wakaja. Waliongozwa na Yuda, aliyekuwa mmoja wa wale kumi na wawili. Akamkaribia Isa ili ambusu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

47 Isa alipokuwa bado anazungumza, umati mkubwa wa watu ukaja. Uliongozwa na Yuda, ambaye alikuwa mmoja wa wale wanafunzi Kumi na Wawili. Akamkaribia Isa ili ambusu.

Tazama sura Nakili

Luka 22:47
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yuda Iskariote, mmoja wa wathenashara, akaenda zake kwa makuhani wakuu, apate kumsaliti kwao.

Yesu akamwambia, Yuda, wamsaliti Mwana wa Adamu kwa kumbusu?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo