Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 22:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Akaenda zake akasema na makuhani wakuu na majemadari jinsi ya kumtia katika mikono yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Yuda akaenda, akajadiliana na makuhani wakuu na walinzi wa hekalu kuhusu atakavyomsaliti Yesu kwao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Yuda akaenda, akajadiliana na makuhani wakuu na walinzi wa hekalu kuhusu atakavyomsaliti Yesu kwao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Yuda akaenda, akajadiliana na makuhani wakuu na walinzi wa hekalu kuhusu atakavyomsaliti Yesu kwao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Yuda akaenda kwa viongozi wa makuhani na kwa maafisa wa walinzi wa Hekalu, akazungumza nao jinsi angeweza kumsaliti Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Yuda akaenda kwa viongozi wa makuhani na kwa maafisa wa walinzi wa Hekalu, akazungumza nao jinsi ambavyo angeweza kumsaliti Isa.

Tazama sura Nakili




Luka 22:4
9 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha mmoja wa wale thenashara, jina lake Yuda Iskariote, alikwenda zake kwa makuhani wakuu,


Wakafurahi, wakapatana kumpa fedha.


Yesu akawaambia waliomjia, makuhani wakuu, na majemadari wa hekalu, na wazee, Kama juu ya mnyanyangʼanyi mmetoka kwa panga na marungu?


HATTA walipokuwa wakisema na watu wale, makuhani na akida wa hekalu na Masadukayo wakawatokea,


Kuhani mkuu na jemadari wa hekalu na makuhani wakuu waliposikia haya, wakaingiwa na mashaka kwa ajili yao, yatakuwaje mambo hayo.


Yule jemadari akaenda pamoja na watumishi, wakawaleta, lakini si kwa nguvu, kwa maana waliogopa watu wasije wakawatupia mawe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo