Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 22:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Akatoka, akaenda zake hatta mlima wa mizeituni, kama ilivyo kawaida yake: wanafunzi wake wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Yesu akatoka, na kama ilivyokuwa desturi yake, akaenda katika mlima wa Mizeituni; wanafunzi wake wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Yesu akatoka, na kama ilivyokuwa desturi yake, akaenda katika mlima wa Mizeituni; wanafunzi wake wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Yesu akatoka, na kama ilivyokuwa desturi yake, akaenda katika mlima wa Mizeituni; wanafunzi wake wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Isa akatoka, akaenda kwenye Mlima wa Mizeituni kama ilivyokuwa kawaida yake, nao wanafunzi wake wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Isa akatoka, akaenda kwenye Mlima wa Mizeituni kama ilivyokuwa kawaida yake, nao wanafunzi wake wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Luka 22:39
10 Marejeleo ya Msalaba  

HATTA walipokaribia Yerusalemi, na kufika Bethfage, katika mlima wa Mizeituni, ndipo Yesu akatuma wanafunzi wawili,

Walipokwisha kuimba, wakatoka nje kwenda mlima wa Mizeituni.

Yesu akaingia Yerusalemi hatta ndani ya hekalu: na alipokwisha kutazama yote pande zote, kwa kuwa ni wakati wa jioni, akatoka akaenda Bethania pamoja na wathenashara.

Na ilipokuwa jioni alitoka mjini.

Hatta alipokuwa ameketi katika mlima wa mizeituni, kuelekea hekalu, Petro, na Yakobo, na Yohana, na Andrea wakamwuliza kwa faragha, Tuambie, haya yatakuwa lini?

Wakiisha kuimba wakatoka kwenda mlima wa mizeituni.

Bassi killa siku alikuwa akifundisha hekaluni wakati wa mchana; na wakati wa usiku akitoka, na kulala katika mlima uitwao mlima wa mizeituni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo