Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 22:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Wakasema, Bwana, tazama, panga mbili hizi. Akawaambia, Zatosha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Nao wakasema, “Bwana, tazama; hapa kuna panga mbili.” Naye akasema, “Basi!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Nao wakasema, “Bwana, tazama; hapa kuna panga mbili.” Naye akasema, “Basi!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Nao wakasema, “Bwana, tazama; hapa kuna panga mbili.” Naye akasema, “Basi!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Wanafunzi wake wakamwambia, “Bwana, tazama hapa kuna panga mbili.” Akawajibu, “Inatosha.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Wanafunzi wake wakamwambia, “Bwana Isa, tazama hapa kuna panga mbili.” Akawajibu, “Inatosha.”

Tazama sura Nakili




Luka 22:38
9 Marejeleo ya Msalaba  

Mmoja wao waliokuwa pamoja na Yesu akanyosha mkono wake, akaufuta upanga wake, akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio.


Akawaambia, Bali sasa mwenye kifuko akitwae, na mkoba vivyo hivyo; nae asiye na upanga, auze joho yake, akanunue mmoja.


Nao waliokuwa pamoja nae walipoona yatakayokuwa, wakasema, Bwana, na tupige kwa upanga?


Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu, kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu: watumishi wangu wangalinipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi: lakini sasa ufalme wangu sio wa hapa.


Lakini sisi tulio wa mchana, tuwe na kiasi, tukijivika kifuani imani na upendo, na chepeo yetu iwe tumaini la wokofu.


mpingeni, mkiwa imara katika imani, mkijua ya kuwa mateso yaleyale yanatimizwa kwa ndugu zenu walioko duniani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo