Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 22:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Akasema, Nakuambia, Petro, jogoo hatawika leo, kabla hujanikana marra tatu kwamba hunijui.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Yesu akamjibu, “Nakuambia wewe Petro, kabla jogoo hajawika leo utakuwa umenikana mara tatu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Yesu akamjibu, “Nakuambia wewe Petro, kabla jogoo hajawika leo utakuwa umenikana mara tatu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Yesu akamjibu, “Nakuambia wewe Petro, kabla jogoo hajawika leo utakuwa umenikana mara tatu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Isa akamjibu, “Ninakuambia Petro, kabla jogoo hajawika usiku wa leo, utakana mara tatu kwamba unanijua.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Isa akamjibu, “Ninakuambia Petro, kabla jogoo hajawika usiku wa leo, utakana mara tatu kwamba hunijui mimi.”

Tazama sura Nakili




Luka 22:34
9 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, usiku huu kabla ya kuwika jogoo, utanikana marra tatu.


Ndipo akaanza kulaani na kuapa, Simjui mtu huyu. Marra akawika jogoo.


Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, Wewe leo, usiku huu, kabla ya kuwika jogoo marra mbili, utanikana marra tatu.


Akamwambia, Bwana, pamoja nawe mimi ni tayari kwenda gerezani na kufa.


Akawaambia, Nilipowatuma bila mifuko na mkoba na viatu, mlipunguka kitu? Wakasema, Hapana.


Bwana akageuka, akamtazamisha Petro: Petro akalikumbuka neno la Bwana, jinsi alivyomwambia, Kabla hajawika jogoo leo, utanikana marra tatu.


Yesu akamjibu, Je! uzima wako utauweka kwa ajili yangu? Amin, amin, nakuambia, Jogoo hatawika hatta utakapokuwa umenikana marra tatu.


Bassi Petro akakana tena, jogoo akawika marra.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo