Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 22:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Akamwambia, Bwana, pamoja nawe mimi ni tayari kwenda gerezani na kufa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Naye Petro akamjibu, “Bwana, mimi niko tayari kwenda pamoja nawe gerezani, na hata kufa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Naye Petro akamjibu, “Bwana, mimi niko tayari kwenda pamoja nawe gerezani, na hata kufa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Naye Petro akamjibu, “Bwana, mimi niko tayari kwenda pamoja nawe gerezani, na hata kufa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Petro akajibu, “Bwana, niko tayari kwenda pamoja nawe gerezani na hata katika kifo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Petro akajibu, “Bwana Isa, niko tayari kwenda pamoja nawe gerezani na hata kifoni.”

Tazama sura Nakili




Luka 22:33
16 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajibu akasema, Hamjui mnaloliomha. Mwaweza kuuywea kikombe nitakachonywea mimi, na kubatizwa ubatizo nibatizwao mimi? Wakamwambia, Twaweza.


Petro akamwambia, Wajapochukizwa wote, lakini sio mimi.


Nae akazidi sana kusema, Ijaponipasa kufa nawe, sitakukana kabisa. Na wote wakasema vivi hivi.


Akasema, Nakuambia, Petro, jogoo hatawika leo, kabla hujanikana marra tatu kwamba hunijui.


Akakana, akisema, Mwanamke, simjui.


Yesu akamjibu, Je! uzima wako utauweka kwa ajili yangu? Amin, amin, nakuambia, Jogoo hatawika hatta utakapokuwa umenikana marra tatu.


Paolo akajibu, Mnafanyaje, kulia na kunivnnja moyo? kwa maana mimi, licha ya kufungwa tu, ni tayari hatta kuuawa katika Yerusalemi kwa ajili ya jina lake Bwana Yesu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo