Luka 22:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192128 Siye aketiye chakulani? Lakini mimi kati mwenu kama akhudumuye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 “Nyinyi ndio mliobaki nami wakati wote wa majaribu yangu; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 “Nyinyi ndio mliobaki nami wakati wote wa majaribu yangu; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 “Nyinyi ndio mliobaki nami wakati wote wa majaribu yangu; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Ninyi mmekuwa pamoja nami katika majaribu yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Ninyi mmekuwa pamoja nami katika majaribu yangu. Tazama sura |