Luka 22:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192125 Akawaambia, Wafalme wa Mataifa huwatawala, na wenye mamlaka juu yao huitwa wafadhili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Yesu akawaambia, “Wafalme wa mataifa huwatawala watu wao kwa mabavu, nao huitwa wafadhili wa watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Yesu akawaambia, “Wafalme wa mataifa huwatawala watu wao kwa mabavu, nao huitwa wafadhili wa watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Yesu akawaambia, “Wafalme wa mataifa huwatawala watu wao kwa mabavu, nao huitwa wafadhili wa watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Isa akawaambia, “Wafalme na watu wa Mataifa huwatawala watu kwa nguvu. Nao wenye mamlaka juu yao hujiita ‘Wafadhili.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Isa akawaambia, “Wafalme na watu wa Mataifa huwatawala watu kwa nguvu. Nao wenye mamlaka juu yao hujiita ‘Wafadhili.’ Tazama sura |