Luka 22:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 Nao wakaanza kuulizana wao kwa wao, ni nani katika wao atakaetenda neno hili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Hapo wakaanza kuulizana wao kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo hilo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Hapo wakaanza kuulizana wao kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo hilo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Hapo wakaanza kuulizana wao kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo hilo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Wakaanza kuulizana wenyewe ni nani miongoni mwao angeweza kufanya jambo hilo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Wakaanza kuulizana wenyewe ni nani miongoni mwao angeweza kufanya jambo hilo. Tazama sura |