Luka 22:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192121 Illa angalieni, mkono wake anisalitiye u pamoja nami mezani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 “Lakini, tazameni! Yule atakayenisaliti yuko nami hapa mezani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 “Lakini, tazameni! Yule atakayenisaliti yuko nami hapa mezani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 “Lakini, tazameni! Yule atakayenisaliti yuko nami hapa mezani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Lakini mkono wake huyo atakayenisaliti uko hapa mezani pamoja nami. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Lakini mkono wake huyo atakayenisaliti uko hapa mezani pamoja nami. Tazama sura |