Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 22:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Maana nawaambieni, Sitakunywa tangu sasa mazao ya mzabibu hatta ufalme wa Mungu utakapokuja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Kwa maana nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka ufalme wa Mungu utakapokuja.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Kwa maana nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka ufalme wa Mungu utakapokuja.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Kwa maana nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka ufalme wa Mungu utakapokuja.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Kwa maana nawaambia tangu sasa sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi ufalme wa Mungu utakapokuja.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Kwa maana nawaambia tangu sasa sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi Ufalme wa Mwenyezi Mungu utakapokuja.”

Tazama sura Nakili




Luka 22:18
22 Marejeleo ya Msalaba  

Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na jun ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; na milango ya kuzimu haitalishinda.


Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu leo nzao huu wa mzabibu, hatta siku ile nitakapounywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.


Akatwaa kikombe, akashukuru, akawapa; wakakinywea wote.


Amin, nawaambieni, Sitakunywa tena kabisa uzao wa mzabibu, hatta siku ile nitakaponnywa mpya katika ufalme wa Mungu.


Wakampa mvinyo iliyotiwa manemane anywe, nae hakupokea.


AKAWAAMBIA, Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawa wasimamao hapa ambao hawataonja mauti hatta watakapouona ufalme wa Mungu umekuja kwa nguvu.


Nanyi vivyo hivyo mwonapo hayo yanakuwa, tambueni ya kuwa ufalme wa Mungu u karibu.


kwa maana nawaambieni, Sitaila kabisa hatta itakapotimizwa katika ufalme wa Mungu.


Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataionja mauti kabisa hatta watakapouona ufalme wa Mungu.


aliyetuokoa na uguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo