Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 22:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 kwa maana nawaambieni, Sitaila kabisa hatta itakapotimizwa katika ufalme wa Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Maana nawaambieni, sitaila tena hadi hapo itakapokamilika katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Maana nawaambieni, sitaila tena hadi hapo itakapokamilika katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Maana nawaambieni, sitaila tena hadi hapo itakapokamilika katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Kwa maana, nawaambia, sitaila tena Pasaka hadi itakapotimizwa katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Kwa maana, nawaambia, sitaila tena Pasaka mpaka itakapotimizwa katika Ufalme wa Mwenyezi Mungu.”

Tazama sura Nakili




Luka 22:16
11 Marejeleo ya Msalaba  

Wa kheri watumishi wale ambao bwana wao ajapo atawakuta wanakesba. Amin, nawaambieni, atajifunga, atawaketisha, atakuja kuwakhudumia.


Bassi mtu mmoja katika hawo walioketi pamoja nae, alipoyasikia haya, akamwambia, Yu kheri atakaekula mkate katika ufalme wa Mungu.


Akawaambia, Nimetamani sana kula pasaka hii pamoja nanyi, kabla va kuteswa:


Maana nawaambieni, Sitakunywa tangu sasa mazao ya mzabibu hatta ufalme wa Mungu utakapokuja.


mpate kula na kunywa mezani pangu katika ufalme wangu, na kuketi katika viti vya enzi, mkiwahukumu kabila thenashara za Israeli.


Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hatta uzima wa milele, Mwana wa Adamu atakachowapeni: maana huyu ndiye aliyetiwa muhuri na Baba, yaani, Mungu.


si kwa watu wote, bali kwa mashahidi waliokuwa wamekwisha kuchaguliwa na Mungu, ndio sisi, tuliokula na kunywa pamoja nae baada ya kufufuka kwake.


Akaniambia, Andika, Wa kheri walioitwa kwa karamu ya arusi ya Mwana Kondoo. Akaniambia, Maneno haya ni maneno ya kweli ya Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo