Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 22:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Na mtu yule atawaonyesha orofa kubwa iliyopambwa; huko andalieni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Naye atawaonesheni chumba kikubwa ghorofani ambacho kimepambwa. Andalieni humo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Naye atawaonesheni chumba kikubwa ghorofani ambacho kimepambwa. Andalieni humo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Naye atawaonesheni chumba kikubwa ghorofani ambacho kimepambwa. Andalieni humo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Atawaonesha chumba kikubwa ghorofani, kikiwa kimepambwa vizuri. Andaeni humo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Atawaonyesha chumba kikubwa ghorofani, kikiwa kimepambwa vizuri. Andaeni humo.”

Tazama sura Nakili




Luka 22:12
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na mtamwambia mwenye nyumba, Mwalimu akuambia, Ki wapi chumba cha wageni, nipate kula Pasaka humo pamoja na wanafunzi wangu?


Wakaenda wakaona kama alivyowaambia, wakaiandalia Pasaka.


na kwa sababu hakuwa na haja ya watu kushuhudia khabari za niwana Adamu; kwa maana yeye mwenyewe alijua yaliyomo ndani ya mwana Adamu.


Akamwambia marra ya tatu, Simon wa Yohana, Wanipenda mimi? Petro akahuzunika kwa kuwa alimwambia marra ya tatu, Wanipenda mimi? Akamwambia, Bwana, wewe unajua yote; unajua ya kuwa nakupenda. Yesu amwambia, Lisha kondoo zangu.


Hatta walipoingia, wakapanda orofani, walipokuwa wakikaa; Petro, na Yakobo, na Yohana, na Andrea, Filipo na Tomaso, Bartolomayo na Mattayo, Yakobo wa Alfayo, na Simon Zelote, na Yuda wa Yakobo.


Palikiuwa na taa nyingi katika orofa ile walipokuwa wamekusanyika.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo