Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 22:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Na mtamwambia mwenye nyumba, Mwalimu akuambia, Ki wapi chumba cha wageni, nipate kula Pasaka humo pamoja na wanafunzi wangu?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Mwambieni mwenye nyumba: ‘Mwalimu anakuuliza, kiko wapi kile chumba ambamo nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Mwambieni mwenye nyumba: ‘Mwalimu anakuuliza, kiko wapi kile chumba ambamo nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Mwambieni mwenye nyumba: ‘Mwalimu anakuuliza, kiko wapi kile chumba ambamo nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu?’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Nanyi mwambieni mwenye nyumba, ‘Mwalimu anauliza: Kiko wapi chumba cha wageni, ambamo mimi na wanafunzi wangu tutakula Pasaka?’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Nanyi mwambieni mwenye nyumba, ‘Mwalimu anauliza: Kiko wapi chumba cha wageni, ambamo mimi na wanafunzi wangu tutakula Pasaka?’

Tazama sura Nakili

Luka 22:11
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na kama mtu akiwaambieni neno, semeni, Bwana ana haja nao; na marra moja atawapeleka.

na po pote atakapoingia, mwambieni mwenye nyumba, Mwalimu asema, I wapi sebule ya wageni, niile pasaka, pamoja na wanafunzi wangu?

Na mtu akiwaambieni, Mbona mnamfungua? semeni hivi, Bwana ana haja nae.

Wakasema, Bwana ana haja nae.

Na Yesu, alipofika mahali pale, akatazama juu, akamwona, akamwambia, Zakkayo, shuka upesi; maana leo imenipasa kushinda nyumbani mwako.

Akawaambia, Tazama, mtakapoingia mjini, atakutana nanyi mtu mume achukuae mtungi wa maji: mfuateni mpaka nyumba atakayoingia.

Na mtu yule atawaonyesha orofa kubwa iliyopambwa; huko andalieni.

Na alipokwisha kusema haya, akaenda zake, akamwita dada yake, Mariamu, kwa siri, akisema, Mwalimu yupo, anakuita.

Tazama, nasimama mlangoni, nabisha: mtu akiisikia sauti yangu na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula pamoja nae, na yeye pamoja nami.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo