Luka 22:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 IKAKARIBIA siku kuu ya mikate isiyochachwa, iitwayo Pasaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo Pasaka, ilikuwa inakaribia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo Pasaka, ilikuwa inakaribia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo Pasaka, ilikuwa inakaribia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Wakati huu Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, iitwayo Pasaka, ilikuwa imekaribia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Wakati huu Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, iitwayo Pasaka, ilikuwa imekaribia. Tazama sura |