Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 21:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Wakuimwuliza, wakisema, Mwalimu, haya yatakuwa lini, bassi? Na nini dalili ya kuwa haya yote ni karibu ya kutimia?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Basi, wakamwuliza, “Mwalimu, mambo hayo yatatokea lini? Na ni ishara gani zitakazoonesha kwamba karibu mambo hayo yatokee?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Basi, wakamwuliza, “Mwalimu, mambo hayo yatatokea lini? Na ni ishara gani zitakazoonesha kwamba karibu mambo hayo yatokee?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Basi, wakamwuliza, “Mwalimu, mambo hayo yatatokea lini? Na ni ishara gani zitakazoonesha kwamba karibu mambo hayo yatokee?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Wakamuuliza, “Mwalimu, mambo haya yatatukia lini? Ni dalili gani itaonesha kwamba yanakaribia kutendeka?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Wakamuuliza, “Mwalimu, mambo haya yatatukia lini? Ni dalili gani itaonyesha kwamba yanakaribia kutendeka?”

Tazama sura Nakili




Luka 21:7
13 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakinena, Tuambie, haya yatakuwa lini? Na nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia?


Lakini mlionapo chukizo la uharibifu (lile lililoneuwa ua nabii Danieli) likisimama pasipolipasa (asomae na afahamu) ndipo walio katika Yahudi wakimbilie milimani;


Amin, nawaanibieni, Kizazi hiki hakitapita kamwe hatta haya yote yatimizwe.


Haya mnayoyatazama, siku zitakuja, halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.


Akasema, Jibadharini, msidanganyike; kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakinena, Mimi ndiye, na, Majira yamekaribia. Bassi, msiwafuate hawo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo