Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 21:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Haya mnayoyatazama, siku zitakuja, halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 “Haya yote mnayoyaona – zitakuja siku ambapo hakuna hata jiwe moja litakalosalia juu ya lingine; kila kitu kitaharibiwa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 “Haya yote mnayoyaona – zitakuja siku ambapo hakuna hata jiwe moja litakalosalia juu ya lingine; kila kitu kitaharibiwa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 “Haya yote mnayoyaona — zitakuja siku ambapo hakuna hata jiwe moja litakalosalia juu ya lingine; kila kitu kitaharibiwa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 “Kuhusu haya mnayoyaona hapa, wakati utafika ambapo hakuna jiwe moja litakalobaki juu ya jingine, bali kila moja litabomolewa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 “Kuhusu haya mnayoyaona hapa, wakati utafika ambapo hakuna jiwe moja litakalobaki juu ya jingine, bali kila moja litabomolewa.”

Tazama sura Nakili

Luka 21:6
20 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajibu akawaambia, Hamyaoni haya yote? Amin, nawaambieni, Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitahomolewa.

Yesu akajibu, akawaambia, Waona majengo haya makuhwa makubwa? Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomelewa.

Wakuimwuliza, wakisema, Mwalimu, haya yatakuwa lini, bassi? Na nini dalili ya kuwa haya yote ni karibu ya kutimia?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo